KONGAMANO LA KUADHIMISHA MIAKA 100 TANGU KUZALIWA KWA BABA WA TAIFA
Washiriki wa kongamano wakiwemo Viongozi Wastaafu,Mabalozi, wawakilishi wa vyama Mbalimbali, Wahadhiri wa MNMA na Wananchi wakifuatilia majadiliano ya Kongamano la miaka 100 tangu kuzaliwa hayati Mwalimu Julius K. Nyerere.